Nini tofauti kati ya Husuda, faraka na uchafu?
SWALI: Husuda ni nini?, faraka ni nini? na uchafu ni nini katika biblia? JIBU: Husuda limeonekana sehemu kadhaa katika biblia na maana yake ni “WIVU” na mtu kuwa na HUSUDA/WIVU ni Dhambi…..Ifuatayo ni baadhi ya mistari iliyozungumzia husuda. Wagalatia 5:21 “HUSUDA, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, … Continue reading Nini tofauti kati ya Husuda, faraka na uchafu?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed