Kwanini Shetani ni joka wa zamani? Shalom, ni kwa neema za Mungu wetu tumeliona tena jua leo..wapo ambao hawakupata nafasi hiyo, hivyo hatuna budi kumshukuru sana Mungu wetu. Karibu tujifunze Neno la Mungu chakula cha kweli cha roho zetu. Biblia inasema katika.. Ufunuo 20:1 “Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na … Continue reading YULE JOKA WA ZAMANI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed