JE KUNA UISLAMU KATIKA BIBLIA?

Je kuna uislamu katika biblia? na je Muhamadi¬† katika biblia katajwa wapi? Japokuwa¬† Kristo anafahamika na kutajwa katika dini nyingi tofauti tofauti ulimwenguni ikiwemo uislamu lakini Biblia haijataja dini ya kiislamu ndani yake wala haijamtaja popote mtume wa waislamu ajulikanaye kama Muhamad. Mstari ufuatao ndio unaotumiwa na wafuasi wa dini ya kiislamu kuamini kuwa Muhamad … Continue reading JE KUNA UISLAMU KATIKA BIBLIA?