MISTARI SHETANI ANAYOITUMIA KUWAANGUSHA WATU

Ni mistari ipi shetani anapenda kuitumia kuwaangusha watu waliosimama? Shetani akitaka kumwangamiza mtu aliye mwamini Mungu, anachofanya ni anamchukua na kumpeleka juu sana,.. hamwachi pale alipo, kwasababu anajua mtu aliye chini hata akinguka, ataumia kidogo tu, lakini bado akawa na uwezo wa kusimama na kuendelea mbele tena..Badala yake anachokifanya yeye ni anamchukua na kumpelekea juu … Continue reading MISTARI SHETANI ANAYOITUMIA KUWAANGUSHA WATU