JE NI KWELI SAMAKI NGUVA YUPO?

Je ni kweli kuna samaki nguva?..Je kwenye  biblia nguva katajwa? Jibu: Ukweli ni kwamba hakuna mahali popote katika biblia palipotajwa uwepo wa samaki aina ya nguva. Maana yake ni kwamba hakuna kiumbe cha namna hiyo kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu. Lakini utauliza je! hicho wanachokiona watu ni nini? ambacho kimaumbile kinaonekana nusu mtu nusu samaki? Jibu … Continue reading JE NI KWELI SAMAKI NGUVA YUPO?