JIHADHARI NA DHAMBI YA WIVU/HUSUDA.
Jiepusha na dhambi ya wivu/husuda ambayo mwisho wake ni mauaji. Silaha moja kubwa shetani anayoitumia kuwadhuru watu ni wivu…mtu mwenye wivu ni rahisi kutumiwa na shetani kwa viwango vikubwa sana… Mauaji mengi yanasababishwa na wivu, uchawi mwingi unatokana na wivu, hila nyingi zinatokana na wivu..na mambo yote mabaya yanatokana na wivu. Hivyo ni muhimu kujifunza … Continue reading JIHADHARI NA DHAMBI YA WIVU/HUSUDA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed