JINI MAHABA NI NINI?

Jini Mahaba yupo kibiblia?, Mtu mwenye jini mahaba anakuwaje? Moja ya elimu inayowachanganya wengi na inayopotoshwa ni Elimu juu ya mapepo.. Mapepo kwa lugha nyingine wanaiwa majini…Ni kitu kimoja kinachojulikana kwa majina mawili tofauti, ni kama MWANADAMU na MTU. Hayo ni majina mawili tofauti lakini yanaelezea kitu kimoja. Sasa mapepo ni roho za malaika walioasi … Continue reading JINI MAHABA NI NINI?