JE KUHUDUMU KWA NYIMBO ZA INJILI KUKOJE?

Nyimbo za Injili ni zipi?, waimbaji wanapaswa waitendeje huduma hiyo?.. Shalom. Karibu tuongeze maarifa kuhusu Neno la Mungu..Tukilijua Neno la Mungu vyema, tutayajua mapenzi ya Mungu na hivyo tutaishi kulingana na yeye anavyopenda na tutabarikiwa. Moja ya karama ya muhimu sana katika Mwili wa Kristo ni karama ya uimbaji. Sasa ni wazi kuwa mtu yoyote … Continue reading JE KUHUDUMU KWA NYIMBO ZA INJILI KUKOJE?