KUTAKUWA NA MATETEMEKO YA NCHI, NJAA NA TAUNI.

Kipindi kifupi kabla ya ghadhabu ya Mungu kumwagwa juu ya dunia, biblia imetabiri kuzuka kwa mambo ya ajabu sana na ya kutisha ulimwengu…na mambo hayo yapo mengi ikiwemo kuzuka kwa manabii wa uongo na makristo wa uongo, lakini pamoja na hayo yapo mengine matatu ya muhimu, ambayo ni …1) VITA 2) TAUNI na 3) NJAA. … Continue reading KUTAKUWA NA MATETEMEKO YA NCHI, NJAA NA TAUNI.