MKARIBIE BWANA ZAIDI ILI UFANYIKE NGUZO.

Mkaribie Bwana. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Miongoni mwa watu waliokuwa wanamfuata Bwana Yesu kulikuwa na makundi manne..1) Makutano 2)Wanafunzi 3)Mitume 12 na 4) Nguzo. Kundi la kwanza ambalo ni makutano, hawa walikuwa tu wanakusanyika kusikiliza mahubiri ya Bwana Yesu ambao mara zote Bwana alikuwa anazungumza nao kwa mifano, na kuwaponya magonjwa yao..baada ya … Continue reading MKARIBIE BWANA ZAIDI ILI UFANYIKE NGUZO.