IKIMBIE DHAMBI KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE!

Ikimbie dhambi. Shalom. Karibu tujifunze biblia, na kujikumbusha yale ambayo tumeshajifunza. Kitu pekee ambacho watu wa Mungu tunapaswa tukiogope kuliko vyote kwa nyakati zetu hizi sasa ni dhambi…Wala hatupaswi kuogopa mapepo wala wachawi wala shetani mwenyewe. Tunachopaswa kukiogopa cha kwanza ni dhambi. Kwasababu dhambi ndio mlango wa mambo hayo mengine yote. Hivyo kwa nguvu zote … Continue reading IKIMBIE DHAMBI KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE!