Kwanini yule mtu afe kwa kuliwa na simba?
Katika 1Wafalme 20:35-37, Kwanini yule mtu afe kwa kuliwa na simba baada ya kukataa kumpiga yule nabii?..je Mungu anaruhusu watu kupigana? JIBU:Tusome 1Wafalme 20:35-37 “Basi, mtu mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake kwa neno la Bwana, Nipige, nakusihi. Akakataa yule kumpiga. 36 Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya Bwana, angalia, mara ukitoka kwangu simba … Continue reading Kwanini yule mtu afe kwa kuliwa na simba?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed