NAO WAKADHANI YA KUWA YUMO KATIKA MSAFARA;

Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe ndugu yangu.. Nyakati hizi za mwisho tunazoishi sasa, ni nyakati ambazo zinakithiri kuwa na mseto wa watu wengi wanaojiita wakristo, leo hii ni rahisi kuona hata msanii wa kidunia anaimba nyimbo za Injili, ni rahisi kuona, mashoga wanatoa michango ya kujenga makanisa makubwa ulaya, wazinzi wanahudhuria kila jumapili ibadani, wengine … Continue reading NAO WAKADHANI YA KUWA YUMO KATIKA MSAFARA;