UFANYE NINI KAMA MKRISTO WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA?

Watu baadhi kutoka nchi mbalimbali wamenitumia ujumbe wanasema, mtumishi huku kwetu hali sio nzuri hatuwezi kwenda kanisani kama tulivyozoea, hatuwezi kufanya chochote isipokuwa tu ni kukaa nyumbani, na wala hakuna dalali ya jambo hilo kuisha hivi karibuni…Tufanye nini? Shalom, ndugu, Ipo Habari moja katika biblia tunapaswa tujue na  tujifunze kama wakristo katika wakati huu ambao … Continue reading UFANYE NINI KAMA MKRISTO WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA?