SI KWA FAIDA YA MWENYEZI, BALI KWA FAIDA YETU.

Tunapotenda Mema ni kwa faida yetu na si ya Mungu..kadhalika tunapofanya maovu ni kwa hasara yetu sisi na si hasara ya Mungu. Kwa mfano mtu anayezini biblia inasema anatenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe anafanya jambo litakalomwangamiza yeye mwenyewe.. maana yake anakuwa hana tofauti na mtu anayejiua… Mithali 6:32 “Mtu aziniye na mwanamke hana … Continue reading SI KWA FAIDA YA MWENYEZI, BALI KWA FAIDA YETU.