KUTUBU SIO KUOMBA REHEMA.

Kutubu sio kuomba rehema kwa Mungu!. Jina la Bwana libarikiwe. Ipo tofauti kati ya kutubu na kuomba rehema…Wengi tunaomba rehema lakini hatutubu…Ndugu, Rehema bila Toba ni bure!. Kuomba rehema hakuna tofauti na kuomba msamaha…Unapomwomba Mtu msamaha hapo ni umemwomba rehema…(akurehemu), Lakini Toba haiombwi, toba ni inafanywa na wewe. Sasa Toba/kutubu ni nini? Toba maana yake … Continue reading KUTUBU SIO KUOMBA REHEMA.