FUKUZA TAI WOTE JUU YA SADAKA YAKO.

Fukuza tai wote.. Shalom, Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima,. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Lipo jambo naamini utaongeza katika Habari hii nzuri ya Ibrahimu ambaye tunamwita baba wa Imani, nasi leo tuige hii Imani yake..Embu tusome sasa.. Mwanzo 15:7 “Kisha akamwambia, Mimi ni Bwana, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii … Continue reading FUKUZA TAI WOTE JUU YA SADAKA YAKO.