Mwaloni ni nini? Na je unafunua nini rohoni?

Kwa lugha ya kiingereza unajulikana kama OAK tree, Kisayansi Kuna ziadi ya jamii 600 za mti huu.. Na unapatikana sehemu mbalimbali duniani sana sana zile za baridi, lakini katika ukanda wa mediterenia yaani Maeneo yote ya mashariki ya kati ikiwemo Israeli mti huu unaota kwa asili. Mti wa mwaloni unatoa mbao zinazosifika kwa ugumu, katika … Continue reading Mwaloni ni nini? Na je unafunua nini rohoni?