KATIKA SIKU HIYO WATASEMA, HUYU NDIYE BWANA TULIYEMNGOJA.
Isaya 25:8 “Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana Bwana amenena hayo. 9 Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake”. Upo wakati ambao, tutamwona Kristo … Continue reading KATIKA SIKU HIYO WATASEMA, HUYU NDIYE BWANA TULIYEMNGOJA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed