Je kuweka mapambo kama mikufu, vikuku na kutoboa pua ni dhambi?

SWALI: Ezekiel. 16:11 “Nikakupamba kwa mapambo pia nikakutia vikuku mikononi mwako na Mkufu shingoni mwako 12.nikatia Hazama puani mwako na pete masikioni mwako na Taji nzuri juu ya kichwa chako. 1Timotheo 2:9 “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri pamoja na adabu nzuri na moyo wa kiasi si kwa kusuka nywele wala kwa … Continue reading Je kuweka mapambo kama mikufu, vikuku na kutoboa pua ni dhambi?