BIBLIA INATUASA TUFANYE NINI KATIKA ZAMA HIZI ZA UOVU?

Waefeso 5:15 “Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; 16 mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu. 17 Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana. 18 Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; BALI MJAZWE ROHO”; Mwishoni mwa … Continue reading BIBLIA INATUASA TUFANYE NINI KATIKA ZAMA HIZI ZA UOVU?