Je ni kweli huwezi kuijua karama yako mpaka uwekewe mikono na wazee?

SWALI: 1Timotheo 4:14 “Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee.”.. Je ni kweli huwezi kuijua au kuitumia karama yako mpaka uwekewe mikono na wazee? JIBU: Kwanza ni muhimu kufahamu wazee wanaozungumziwa hapo ni wakina nani?..wazee wanaozungumziwa hapo sio wazee wa ukoo, wala wazee wa vijiji, bali … Continue reading Je ni kweli huwezi kuijua karama yako mpaka uwekewe mikono na wazee?