FAHAMU JINSI KRISTO ANAVYOPONYA WATU ROHO.

Lipo tukio ambalo, wengi wetu tunalijua lihusulo yule kijana aliyepagawa na mapepo, ambapo tunaona baba yake alimchukua na kumpeleka kwa mitume wa Yesu, lakini walishindwa kulitoa lile pepo, lakini baadaye kidogo walipomwona Bwana anashuka milimani, baba yake yule kijana alimkimbilia Bwana, na kumwambia nisaidie mwanangu, nilimleta kwa wanafunzi wako lakini hawakuweza kumtoa.. Ndipo Bwana Yesu … Continue reading FAHAMU JINSI KRISTO ANAVYOPONYA WATU ROHO.