Maana ya ‘Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake’
SWALI: Mstari huu una maana gani?… Mithali 26:4 “Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. 5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake”. JIBU: Katika huo mstari hilo neno “sawasawa” jinsi lilivyojirudia mara mbili..ndilo linalochanganya..lakini tukitafakari kwa kina tutagundua kuwa hilo Neno halijichanganyi, lipo sawasawa. Sasa kabla ya … Continue reading Maana ya ‘Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake’
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed