UTOE MWILI WAKO KWA BWANA KWASABABU SI MALI YAKO.

Jambo linalotupa wengi kiburi ni kufikiri kwamba miili hii tuliyonayo ni mali yetu wenyewe..Lakini kama mtu ukitenga muda na kutafakari kwa kina utakuja kugundua kuwa mwili ulionao hauna mamlaka nao asilimia mia, na hivyo huo ni uthibitisho kwamba si mali yako kabisa.. Kama mwili ungekuwa ni mali yako ungekuwa na uwezo wa kujichagulia kimo, au … Continue reading UTOE MWILI WAKO KWA BWANA KWASABABU SI MALI YAKO.