KUWA WEWE.

Shalom, Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Neno la Mungu..Ni muhimu kila mmoja wetu kuzaliwa mara ya pili na kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu, na kazi ya Roho Mtakatifu ni kutufanya sisi kuwa watakatifu kama Baba yetu wa mbinguni alivyo mtakatifu..(1Petro 1:16). Na kazi nyingine ya Roho Mtakatifu juu yetu ni … Continue reading KUWA WEWE.