UTUKUFU NA HESHIMA.

Utukufu na Heshima. Mungu wetu ndiye anayestahili utukufu na heshima yote..biblia inatuambia hivyo katika.. Ufunuo 4:11  “Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea UTUKUFU NA HESHIMA na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa”. Lakini Pamoja na hayo Mungu wetu sio mchoyo, yupo tayari … Continue reading UTUKUFU NA HESHIMA.