MAHALI UNAPOPASWA USIMVUMILIE SHETANI HATA KIDOGO.

Katika injili utaona zipo sehemu kuu mbili ambazo Bwana alimfukuza shetani waziwazi.. sehemu ya kwanza ni pale shetani alipotaka amsujudie kwa mapatano kuwa atampa milki zote za ulimwengu.Na sehemu ya pili ni pale Shetani alipomfariji kuwa hatapitia mabaya yaliyo mbele yake.. Tusome.. Mathayo 4:8 “Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za … Continue reading MAHALI UNAPOPASWA USIMVUMILIE SHETANI HATA KIDOGO.