Je! Mwanamke anapaswa afunikwe kichwa anapokuwa ibadani?
Jibu la swali hili linahitaji unakini mkubwa kwasababu lisipoeleweka vizuri ni rahisi kusema biblia ina ubaguzi wa kijinsia au biblia haimaanishi hivyo inavyomaanisha. Hebu tusome mistari michache ifuatayo.. 1Wakorintho 11:3 “Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu. 4 Kila … Continue reading Je! Mwanamke anapaswa afunikwe kichwa anapokuwa ibadani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed