Biblia takatifu ni kitabu kilichobeba maneno ya Mungu katika mfumo wa maandishi..Kitabu hichi kimebeba taarifa muhimu zote zinazomhusu mwanadamu…biolojia ya mwili wake, mwanzo na mwisho wa milki yake..Biblia takatifu ndio kitabu pekee kinachompa mwanadamu kalenda yake ya miaka inayokuja mbele yake. Biblia ni kitabu kitakatifu…ndio maana inaitwa “biblia takatifu”… sasa sio karatasi yaliyokiandikia ndio matakatifu, … Continue reading BIBLIA TAKATIFU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed