Hakuna mtu anenaye katika Roho,kusema Yesu amelaaniwa

SWALI: Mstari huu una maana gani? 1 wakorinto 12:3 “Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu” JIBU: Maana yake ni kwamba hakuna mtu aliyejazwa Roho Mtakatifu anayeweza kusema Yesu amelaaniwa, hilo haliwezekani kwasababu mpaka ameshaingia ndani … Continue reading Hakuna mtu anenaye katika Roho,kusema Yesu amelaaniwa