HAKI HAIMWACHI KUISHI.

…Japokuwa ameokoka katika bahari,haki haimwachi kuishi… Ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, unapaswa ujue kuwa kuna wakati sio mambo yote yataenda vizuri kama unavyofikiri, Hilo ni vizuri ukaliewa kwasababu watu wengi wameishia njiani na kuona kama wokovu ni mgumu wakidhani kuwa ndio utaendaelea kuwa hivyo hivyo wakati wote. Biblia ni kitabu ambacho kimeturahisishia kuielewa vizuri … Continue reading HAKI HAIMWACHI KUISHI.