BWANA AKAMWAMBIA SHETANI, BWANA NA AKUKEMEE EWE SHETANI;

Shalom jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Tunaweza kujiuliza maswali mengine ni kwanini mara nyingi malaika walipokuwa wakishindana na shetani, hawakutumia uweza wao wote kupambana naye,bali walimwachia Mungu aamue, japokuwa walikuwa na mamlaka na uwezo wa kufanya lolote juu yake.. Tunaweza kuona baadhi ya maeneo katika biblia, kwamfano kama lile tukio … Continue reading BWANA AKAMWAMBIA SHETANI, BWANA NA AKUKEMEE EWE SHETANI;