USISUBIRI MPAKA MUNGU AKUAMBIE, NDIO UFANYE!

Unajua ni kwanini Daudi alipewa jina kuu na kubwa kuliko wafalme wote na watu wote waliomtangulia katika Israeli? Ni kwasababu kuna kipindi aliwaza, Mungu amenipa vyote, amenipa ufalme, amenipa uongozi bora juu ya Israeli yote, amenipa nyumba nzuri ya kukaa, lakini mbona ni mimi tu ananifanyia wema, na mimi simfanyii chochote?. Akatazama huku na kule, … Continue reading USISUBIRI MPAKA MUNGU AKUAMBIE, NDIO UFANYE!