Wanaowachukua wanawake wajinga mateka ni akina nani?
2Timotheo 3:6 Inazungumzia watu wanaowachukua wanawake wajinga mateka, Je! Mstari huu una maana gani? JIBU: Ukianzia kusoma tokea mstari wa kwanza utaona pale Paulo anamwonya Timotheo juu ya baadhi ya tabia za ajabu ambazo zitaanza kujitokeza katika siku za mwisho, alimwambia.. 2Timotheo 3:1 “Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za … Continue reading Wanaowachukua wanawake wajinga mateka ni akina nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed