Nini maana ya ‘Usimwekee mtu mikono kwa haraka’?
SWALI: Andiko hili lina maana gani?..1Timotheo 5: 22 “Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi” JIBU: Maana ya awali ya mstari huo sio ile inayodhaniwa na wengi ya “Mtumishi wa Mungu, kumwekea mikono mtu mwenye tatizo fulani au ugonjwa fulani” na kumwombea…Hiyo sio maana ya msingi … Continue reading Nini maana ya ‘Usimwekee mtu mikono kwa haraka’?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed