HAPO NDIPO WATU WALIPOANZA KULIITIA JINA LA BWANA.

Shalom, Ni siku nyingine tena Bwana ametukirimia kuiona kwa neema zake nyingi, Hivyo nakukaribisha tuyatafakari kwa pamoja maneno makuu ya Mungu wetu maadamu siku ile inakaribia. Leo tutakitazama tena kitabu cha mwanzo, hususani juu ya uchaguzi waliouingia watu wawili, ambao tutaona hatma zao mbeleni zilikuja kuwa nini katika kizazi cha saba.. Mtu wa kwanza tutakayemwangalia … Continue reading HAPO NDIPO WATU WALIPOANZA KULIITIA JINA LA BWANA.