KILA MMOJA WENU AJUE KUUWEZA MWILI WAKE.
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko…Si vibaya tukajikumbusha yale ambayo tumeshawahi kujifunza mahali tofauti tofauti… biblia inasema katika.. 1Wathesalonke 4:4 “kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima 5 si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu”. Biblia imetufundisha kujizuia, maana yake ni yale ambayo unaweza … Continue reading KILA MMOJA WENU AJUE KUUWEZA MWILI WAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed