Je! Ni ipi tarehe sahihi Evil-merodaki alimtoa Yekonia gerezani?

SWALI: Je! Siku ipi ambayo Mfalme wa Babeli alimtoa vifungoni mfalme wa Israeli(Yekonia/Yehoyakini). Je! Ni ile tarehe 25 ambayo tunaisoma kwenye Yeremia,