KAMA MMOJA TU NDIO HIVI! SI ZAIDI 153?

Jina la Bwana wetu Yesu yeye atupendae upeo libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko kama vile tulivyopewa maagizo kwenye biblia kwamba tunapaswa tumjue yeye sana mpaka tufikia kimo cha cheo cha utimilifu wake, ili tusiwe watoto wachanga wa kuchukuliwa na kila aina ya upepo wa elimu (Efeso 4:13-14) Kuna swali unaweza kujiuliza kwanini Bwana alipowatokea … Continue reading KAMA MMOJA TU NDIO HIVI! SI ZAIDI 153?