UTASIMAMA PEKE YAKO SIKU ILE.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..karibu tujifunze mambo ya msingi katika safari ya haya maisha ya hapa duniani..biblia inasema dunia inapita, pamoja na tamaa zake zote, (1Yohana 2:17). Na siku ya hukumu siku moja itafika na kila mmoja atatoa habari zake mwenyewe…(Warumi 14:12). Wengi hawajui kuwa siku ya hukumu itakapofika kila mtu atasimama mbele … Continue reading UTASIMAMA PEKE YAKO SIKU ILE.