Je! Mtume Paulo alikuwa ni Mrumi, Myahudi au raia wa Tarso?

Je! Mtume Paulo alikuwa ni Mrumi, myahudi au raia wa Tarso? Nachanganyikiwa kusoma pale Paulo anajitaja kama raia wa Rumi tena wa kuzaliwa wakati yeye ni myahudi?… JIBU: Tukisoma katika matendo tunaona Mtume Paulo akijitambulisha kama yeye ni mwenyeji wa Tarso mji wa Kilkia.. Matendo 21:39 “Paulo akasema, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, mtu wa … Continue reading Je! Mtume Paulo alikuwa ni Mrumi, Myahudi au raia wa Tarso?