IMANI NI KUWA NA UHAKIKA WA MAMBO YATARAJIWAYO.
Waebrania 11:1 “Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana”. Hebu tujifunze kitu kuhusu milango mitano ya ufahamu tunayoijua…ambayo ni Pua, ngozi, ulimi, macho na masikio…milango hii kazi yake ni kukupa uhakika au kukujulisha mambo yanayoendelea katika mazingira yanayokuzunguka hata kabla hujayakufikia.. Hebu tuchukue mfano unatembea barabarani kwa miguu … Continue reading IMANI NI KUWA NA UHAKIKA WA MAMBO YATARAJIWAYO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed