NI KITU GANI PETRO NA YOHANA WALIKIGUNDUA KABURINI?

Shalom.. Asubuhi ile Mariamu Magdalene alipokwenda kaburini na kukuta jiwe limeondolewa na mwili wa Yesu haupo, aliondoka ghafla na kwenda kuwapa taarifa wanafunzi wa Yesu, na kuwaambia Bwana hayupo kaburini wamemwiba na hatujui ni wapi walipompeleka.. Taarifa hiyo ya kushtusha iliwafanya watu wawili waondoke mahali pale kwa kasi sana, mmoja alikuwa ni Yohana na mwingine … Continue reading NI KITU GANI PETRO NA YOHANA WALIKIGUNDUA KABURINI?