JE BWANA WETU YESU ALIKUWA NI MZUNGU?
Shalom, karibu tujifunze Biblia… Nimewahi kukutana na watu kadha wa kadha ambao ukijaribu kuwaeleza tu habari za msalaba na wokovu ulioletwa na mwokozi wetu Yesu Kristo, wanasema Bwana Yesu alikuwa ni mzungu, hivyo hawawezi kumfuata mzungu, wala dini iliyoletwa na wazungu…Huko ni kutawaliwa na wazungu na wanahitimisha kwa kusema kwanini sisi waafrika tusidumishe Imani zetu, … Continue reading JE BWANA WETU YESU ALIKUWA NI MZUNGU?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed