Wafilisti ni watu gani.

Wafilisti ni watu gani? Wafilisti ni watu walioishi kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi ile  kabla ya Israeli kuifikia kutoka Misri. Lakini wana wa Israeli walipokiuka maagizo ya Mungu ya kuwaua wenyeji wote wa miji ile yaliyoikuta,ili wamiliki, wao … Continue reading Wafilisti ni watu gani.