Kuna tofuati kati ya sala ya toba na Maombi ya toba. Sala ya toba, ni pale mtu anapokuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo, pale anapoamua kuacha Maisha yake ya dhambi. Na kwamba kuanzia huo wakati na kuendelea Kristo anakuwa kiongozi wa Maisha yake, sasa, ikiwa yupo tayari kufanya hivyo basi pale anapopiga magoti, na … Continue reading MAOMBI YA TOBA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed