KUOTA UNACHEZA MPIRA.

Kuota unacheza mpira kuna maanisha nini kiroho? Ndoto za namna hii kuwa zinakuja kutoka katika makundi mawili, Kundi la kwanza ni kutokana na shughuli za kila siku. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi;..”. Kwamfano kuota unacheza mpira, asilimia kubwa ya ndoto hii huotwa na wanaume. Na hiyo ni kutokana na … Continue reading KUOTA UNACHEZA MPIRA.