Siku za mwisho wa dunia zitakuwaje? Ukweli ni kwamba dalili zote zinaonyesha kuwa tunaishi katika siku hizo. Shetani anawapufusha watu wengi macho wasilione hilo, ili waendelee kujiburudisha katika mambo maovu ya ulimwengu huu ili siku hiyo iwajilie kwa ghafla kama ilivyowajiliwa watu wa Sodoma na Gomora, na watu wa Nuhu. Kabla ya hii dunia kuisha … Continue reading SIKU ZA MWISHO WA DUNIA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed