KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA.

Ndio kwa kupigwa kwake sisi tumepona!! Tunao ujasiri wote wa kusema hivyo, kwasababu kuacha kwake enzi na mamlaka mbinguni, kisha kuja kuishi maisha ya taabu na mateso hapa duniani, kuanzia kuzaliwa katika zizi la ng’ombe, Kisha kuishi maisha ya umaskini tangu utoto wake hadi utu uzima,(japokuwa alikuwa ni tajiri) 1Wakorintho 8:9 “Maana mmejua neema ya … Continue reading KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA.